Yesu, Yesu Amefufuka
[1]
(Yesu, Yesu) amefufuka, amefufuka
Ameshinda dhambi na mauti, amefufuka
(Akina baba tumwendee) amefufuka
(Na sisi sote tumwendee) amefufuka
(Yesu, Yesu) amefufuka
Ameshinda dhambi na mauti, amefufuka
[2]
(Yesu, Yesu) umefufuka, umefufuka
Ushindi wako huokoa, Wewe Mwokozi
(Ujifunue na kwetu) Mwokozi wetu
(Utupe wokovu wako) Mwokozi wetu
(Twakuamini, ee Bwana) Mwokozi wetu
(Yesu, Yesu) umefufuka
Ushindi wako huokoa, wewe Mwokozi
[3]
(Yesu, Yesu) umefufuka, Umefufuka
Sisi sote utatufufua siku ya mwisho
(Twakungojea kwa shangwe) Yesu Mfalme
(Fahari yako tuone) Yesu Mfalme
(Yesu, Yesu) umefufuka
Sisi sote utatufufua siku ya mwisho
Support Mysongbooks
Support us by joining the Buy Me A Coffee community and making a small donation, you can help us expand our library and ensure that music lovers everywhere can enjoy their favorite songs to the fullest. We're passionate about music, and we know you are too, so let's work together to keep the music alive.
Thank you for being a part of our community and supporting our mission to provide the best lyrics library on the internet.