Hakuna Rafiki Kama Yesu
[1]
Hakuna rafiki kama Yesu
Yu pekee, Yu pekee,
Hakuna mpozi kama Yesu
Yu pekee, Yu pekee.
[chorus]
Yesu ajua shida zetu
Aweza kutuongoza;
Hapana rafiki kama Yesu
Yu pekee, Yu pekee.
[2]
Yeye anaye sifa, ni Yesu
Yu pekee,Yu pekee,
Ndiye aliye mnyenyekevu
Yu pekee, yu pekee.
[chorus]
Yesu ajua shida zetu
Aweza kutuongoza;
Hapana rafiki kama Yesu
Yu pekee, Yu pekee.
[3]
Yesu pamoja nasi daima,
Yu pekee, Yu pekee,
Kwa usiku aleta salama
Yu pekee,Yu pekee.
[chorus]
Yesu ajua shida zetu
Aweza kutuongoza;
Hapana rafiki kama Yesu
Yu pekee, Yu pekee.
[4]
Kulinda Yesu ni mwaminifu,
Yu pekee, Yu pekee,
Atakubali watakatifu
Yu pekee, Yu pekee.
[chorus]
Yesu ajua shida zetu
Aweza kutuongoza;
Hapana rafiki kama Yesu
Yu pekee, Yu pekee.
Support Mysongbooks
Support us by joining the Buy Me A Coffee community and making a small donation, you can help us expand our library and ensure that music lovers everywhere can enjoy their favorite songs to the fullest. We're passionate about music, and we know you are too, so let's work together to keep the music alive.
Thank you for being a part of our community and supporting our mission to provide the best lyrics library on the internet.
Buy us a coffee