WATEULE WA MUNGU
[1]
Wateule wa Mungu, siku ya kuenda Mbinguni
Wateule wa Mungu, watashangilia kabisa.
Wakilakiwa Mbinguni na malaika wa Bwana.
Watabadilika nyuso zao na mavazi mwilini.
[2]
Wateule wa Mungu, siku ya kuenda Mbinguni,
Wataiacha miili ya zamani na kuwa wapya.
Support Mysongbooks
Support us by joining the Buy Me A Coffee community and making a small donation, you can help us expand our library and ensure that music lovers everywhere can enjoy their favorite songs to the fullest. We're passionate about music, and we know you are too, so let's work together to keep the music alive.
Thank you for being a part of our community and supporting our mission to provide the best lyrics library on the internet.