Usinipite Mwokozi
[1]
Usinipite Mwokozi
Unisikie
Unapozuru wengine
Usinipite
[chorus]
Yesu,Yesu
Unisikie
Unapozuru wengine
Usinipite
[2]
Kiti chako cha rehema
Nakitazama
Magoti napiga pale
Nisamehewe
[chorus]
Yesu,Yesu
Unisikie
Unapozuru wengine
Usinipite
[3]
Sina ya kutegemea
Ila wewe tu
Uso wako uwe kwangu
Nakuabudu
[chorus]
Yesu,Yesu
Unisikie
Unapozuru wengine
Usinipite
[4]
U mfariji peke yako
Sina mbinguni
Wala duniani pote
Bwana mwingine
[chorus]
Yesu,Yesu
Unisikie
Unapozuru wengine
Usinipite
Support Mysongbooks
Support us by joining the Buy Me A Coffee community and making a small donation, you can help us expand our library and ensure that music lovers everywhere can enjoy their favorite songs to the fullest. We're passionate about music, and we know you are too, so let's work together to keep the music alive.
Thank you for being a part of our community and supporting our mission to provide the best lyrics library on the internet.