Umechoka Umeshushwa Moyo
[1]
Umechoka, umeshushwa moyo?
Mwambie Yesu, mwambie Yesu,
una huzuni, huna furaha?
Mwambie Yesu sasa.
[chorus]
Mwambie Yesu, mwambie yesu, amejulika sana
Hayuko rafiki kama yesu, mwambie Yesu sasa
[2]
Unalia juu ya haja zako?
Mwambie Yesu,mwambie Yesu
Mbona wazificha dhambi zako?
Mwambie Yesi sasa
[chorus]
Mwambie Yesu, mwambie yesu, amejulika sana
Hayuko rafiki kama yesu, mwambie Yesu sasa
[3]
Waogopa?Usihuzunike
Mwambie Yesu, Mwambie Yesu;
Una hofu kwa mambo ya mbele
Mwambie yesu sasa.
[chorus]
Mwambie Yesu, mwambie yesu, amejulika sana
Hayuko rafiki kama yesu, mwambie Yesu sasa
[4]
Waogopa uwazapo kifo?
mwambie Yesu, mwambie Yesu;
Wautamani ufalme wake?
mwambie Yesu sasa.
[chorus]
Mwambie Yesu, mwambie yesu, amejulika sana
Hayuko rafiki kama yesu, mwambie Yesu sasa
Support Mysongbooks
Support us by joining the Buy Me A Coffee community and making a small donation, you can help us expand our library and ensure that music lovers everywhere can enjoy their favorite songs to the fullest. We're passionate about music, and we know you are too, so let's work together to keep the music alive.
Thank you for being a part of our community and supporting our mission to provide the best lyrics library on the internet.