Ukae Nasi
[1]
Mungu Baba yangu
Nawaona watu
Wameacha njia zako
Na kutangatanga
[2]
Ukae nasi, ukae nasi
Usiache sisi
Ukae nasi, ukae nasi
Tufike Mbinguni
[3]
Maisha yetu
Yamepungukiwa
Lakini tunakuamini
Unayekaa nasi
[4]
Watu huzaliwa
Na wao kukua
Halafu mauti huja
Mungu ukae nasi
Support Mysongbooks
Support us by joining the Buy Me A Coffee community and making a small donation, you can help us expand our library and ensure that music lovers everywhere can enjoy their favorite songs to the fullest. We're passionate about music, and we know you are too, so let's work together to keep the music alive.
Thank you for being a part of our community and supporting our mission to provide the best lyrics library on the internet.