Loading Songs...

Nyimbo Za Umoja

Nyimbo Za Umoja is a Swahili hymn book containing a collection of hymns used by the Churches of Christ in their worship service. It contains a collection of some of the most popular hymns translated to the Swahili language and it is most popularly used in Swahili-speaking countries in Africa.

1348 Book Likes 4 Song Likes
Swahili
222 Songs

Tunaomba Roho

[1]
Sauti yako ee Bwana
Twaisikia utwitapo X2

[chorus]
Tunaomba Roho Mtakatifu
Ndiye aje atuongoze Bwana
Tunajua wakosaji sisi
Ewe Bwana utuokoe X2

[2]
Zikikoma siku zetu
Utatwita juu mbinguni X2

[chorus]
Tunaomba Roho Mtakatifu
Ndiye aje atuongoze Bwana
Tunajua wakosaji sisi
Ewe Bwana utuokoe X2

[3]
Duniani tu wageni
Tumo safarini wote X2

[chorus]
Tunaomba Roho Mtakatifu
Ndiye aje atuongoze Bwana
Tunajua wakosaji sisi
Ewe Bwana utuokoe X2

[4]
Tunaomba sana Bwana
Siku hiyo tukaribishe X2

[chorus]
Tunaomba Roho Mtakatifu
Ndiye aje atuongoze Bwana
Tunajua wakosaji sisi
Ewe Bwana utuokoe X2

[5]
Mungu Baba Mungu Mwana
Mungu Roho Mtakatifu X2

[chorus]
Tunaomba Roho Mtakatifu
Ndiye aje atuongoze Bwana
Tunajua wakosaji sisi
Ewe Bwana utuokoe X2


Support Mysongbooks

Support us by joining the Buy Me A Coffee community and making a small donation, you can help us expand our library and ensure that music lovers everywhere can enjoy their favorite songs to the fullest. We're passionate about music, and we know you are too, so let's work together to keep the music alive.

Thank you for being a part of our community and supporting our mission to provide the best lyrics library on the internet.

Buy me a coffeeBuy us a coffee

Like this song

4 Likes

Share this song

Facebook WhatsApp Twitter Telegram LinkedIn Email

Lyrics Videos on Youtube

Wade In The Water Wade In The Water
Songs On Request
What A Friend What A Friend
Golden Bells
I LOVE YOU LORD I LOVE YOU LORD
Songs Of Prayer And Praise
BLESSED ASSURANCE BLESSED ASSURANCE
Songs Of Prayer And Praise