TANGAZA HABARI
[1]
Tangaza habari za Yesu “Bwana wako”
Tangaza usijali cho chote “Yesu yupo”
Mahali po pote tangaza ukombozi,
Wala usiogope kitu Yesu yupo
“Katika” shida vumilia kaza mwendo,
“Ndipo” utakapoingia kwake Bwana.
[2]
Tangaza hata ukiwa katika shida,
Tangaza usiogope kitu “Yesu yupo”
[3]
Tangaza milimani hata mabondeni
Tangaza usiogope kitu “Yesu yupo.”
Support Mysongbooks
Support us by joining the Buy Me A Coffee community and making a small donation, you can help us expand our library and ensure that music lovers everywhere can enjoy their favorite songs to the fullest. We're passionate about music, and we know you are too, so let's work together to keep the music alive.
Thank you for being a part of our community and supporting our mission to provide the best lyrics library on the internet.