Siku Karibu Kwisha
[1]
Siku karibu kwisha
Ya Roho kutafuta
Nayo siku ifike
Ya shaka na machozi
[chorus]
Nachungulia mwokozi
Mwenye kupima mioyo
Ya Roho Mutakatifu
Roho karibu kwenda
[2]
Roho ina machozi
Yakulilia mioyo
Isioaminika
Roho karibu kwenda
[chorus]
Nachungulia mwokozi
Mwenye kupima mioyo
Ya Roho Mutakatifu
Roho karibu kwenda
[3]
Siku zile za mwisho
Ndizo tulizo nazo
Mwenye akili ajue
Roho karibu kwenda
[chorus]
Nachungulia mwokozi
Mwenye kupima mioyo
Ya Roho Mutakatifu
Roho karibu kwenda
[4]
Dalili zimefika
twangojea mwokozi
Tarumbeta italia
Roho karibu kwenda.
[chorus]
Nachungulia mwokozi
Mwenye kupima mioyo
Ya Roho Mutakatifu
Roho karibu kwenda
Support Mysongbooks
Support us by joining the Buy Me A Coffee community and making a small donation, you can help us expand our library and ensure that music lovers everywhere can enjoy their favorite songs to the fullest. We're passionate about music, and we know you are too, so let's work together to keep the music alive.
Thank you for being a part of our community and supporting our mission to provide the best lyrics library on the internet.