Nitakuwa Wapi Yesu Akija
[1]
Roho yangu, nataiweka wapi?
Bwana Yesu akirudi
Tumwombe Bwana, atuongoze
Tupate kufika kwake
[Chorus]
Ee ndugu - Njoo, njoo kwa
Bwana Yesu,
Nawe utasamehewa Ee dada - njoo, njoo kwa
Bwana Yesu
Nawe utasamehewa
[2]
Tujitoe, kweli, kweli
Tukaihubiri injili
Miaka ndiyo hii iliyokubaliwa
Ya kuhubiri injili
[Chorus]
Ee ndugu - Njoo, njoo kwa
Bwana Yesu,
Nawe utasamehewa Ee dada - njoo, njoo kwa
Bwana Yesu
Nawe utasamehewa
[3]
Bwana akirudi, atatuuliza
Juu ya kazi yake
Tusipoitenda, tutamwambiaje
Bwana akituuliza
[Chorus]
Ee ndugu - Njoo, njoo kwa
Bwana Yesu,
Nawe utasamehewa Ee dada - njoo, njoo kwa
Bwana Yesu
Nawe utasamehewa
[4]
Siku ya mwisho, ndipo wataamka
Walio mavumbini
Ndipo wenye haki
Watakapoimba, hosana kwa
Bwana Yesu
[Chorus]
Ee ndugu - Njoo, njoo kwa
Bwana Yesu,
Nawe utasamehewa Ee dada - njoo, njoo kwa
Bwana Yesu
Nawe utasamehewa
Support Mysongbooks
Support us by joining the Buy Me A Coffee community and making a small donation, you can help us expand our library and ensure that music lovers everywhere can enjoy their favorite songs to the fullest. We're passionate about music, and we know you are too, so let's work together to keep the music alive.
Thank you for being a part of our community and supporting our mission to provide the best lyrics library on the internet.