Loading Songs...

Nyimbo Za Umoja

Nyimbo Za Umoja is a Swahili hymn book containing a collection of hymns used by the Churches of Christ in their worship service. It contains a collection of some of the most popular hymns translated to the Swahili language and it is most popularly used in Swahili-speaking countries in Africa.

1308 Book Likes 0 Song Likes
Swahili
222 Songs

Mwanangu Karibu

[1]
Nilipopotea katika dhambini
Nilikuwa kama mwana mpotevu
Yesu alikuja kuniponya mimi
Akanirudisha kwa Babangu

[chorus]
Mwanangu karibu
Mwanangu karibu
Tukae na Yesu mwokozi wangu
Aliyeniponya kutoka dhambini
Akanirudisha kwa Babangu

[2]
Malaika pale wananingojea
Mji wa Kanaani wako na Yesu
Aliyeniponya kutoka dhambini
Akanirudisha kwa Babangu

[chorus]
Mwanangu karibu
Mwanangu karibu
Tukae na Yesu mwokozi wangu
Aliyeniponya kutoka dhambini
Akanirudisha kwa Babangu

[3]
Nikienda mbinguni nitafurahia
Nikae na Yesu mwokozi wangu
Aliyeniponya kutoka dhambini
Akanirudisha kwa Babangu

[chorus]
Mwanangu karibu
Mwanangu karibu
Tukae na Yesu mwokozi wangu
Aliyeniponya kutoka dhambini
Akanirudisha kwa Babangu


Support Mysongbooks

Support us by joining the Buy Me A Coffee community and making a small donation, you can help us expand our library and ensure that music lovers everywhere can enjoy their favorite songs to the fullest. We're passionate about music, and we know you are too, so let's work together to keep the music alive.

Thank you for being a part of our community and supporting our mission to provide the best lyrics library on the internet.

Buy me a coffeeBuy us a coffee

Like this song

0 Likes

Share this song

Facebook WhatsApp Twitter Telegram LinkedIn Email

Lyrics Videos on Youtube

WHAT A FRIEND WE HAVE IN JESUS WHAT A FRIEND WE HAVE IN JESUS
Songs Of Prayer And Praise
Ancient Words Ancient Words
Golden Bells
Servant’s Song Servant’s Song
Songs On Request
Come Unto Me Come Unto Me
Christ In Song Hymnal
HOW GREAT THOU ART HOW GREAT THOU ART
Songs Of Prayer And Praise
Here I Am To Worship Here I Am To Worship
Hillsong United