HUZUNI NYINGI
[1]
Huzuni nyingi kwa sisi wote (washiriki).
Kuagana e ndugu,
Tulikuwa pete na kidole (nanyi ndugu)
[chorus]
Kwa heri e ndugu.
Kwa heri e ndugu,
Kwa heri e ndugu,
Kwa heri, kwa heri (ndugu zetu).
Tutajaonana Mwenyezi (akipenda)
Enenda kwa amani,
Kwa heri (ndugu zetu).
[2]
Mmeacha pengo kubwa sana (kwetu sisi)
Pete na kidole,
Mungu awe nanyi katika safari (yenu)
Kwa heri e ndugu.
[3]
Tukumbukane ndugu kwa njia ya (maombi)
Kwa heri e ndugu,
Jina la Yesu ni ngome yetu (sisi sote)
Kwa heri e ndugu.
Support Mysongbooks
Support us by joining the Buy Me A Coffee community and making a small donation, you can help us expand our library and ensure that music lovers everywhere can enjoy their favorite songs to the fullest. We're passionate about music, and we know you are too, so let's work together to keep the music alive.
Thank you for being a part of our community and supporting our mission to provide the best lyrics library on the internet.