Hamwendi Mbinguni
[1]
Tuko safarini kwenda juu mbinguni
Makao ya wenye furaha upendo
Ninyi mtangao mjipotezao
Semeni hamwendi kule juu mbinguni
[chorus]
Hamwendi mbinguni?
Hamwendi mbinguni?
Semeni hamwendi
Kule juu mbinguni
[2]
Kwenye nchi hiyo wako watukufu
Hawana uchungu wala maumivu
Mliolemewa mizogo mizito
Semeni hamwendi kule juu mbinguni.
[chorus]
Hamwendi mbinguni?
Hamwendi mbinguni?
Semeni hamwendi
Kule juu mbinguni
[3]
Mbele ya kuitwa wale takatifu.
Huwa na makao yatengeneayo
milango minara hung'arishwa sana
Semeni hamwendi kule juu mbinguni.
[chorus]
Hamwendi mbinguni?
Hamwendi mbinguni?
Semeni hamwendi
Kule juu mbinguni
[4]
Mbele askari! Mbinguni ni yenu
Punde mtaonja utamu wa kule
Kitambo kidogo tutakusanyika
Kwenye utukufu tukaburudike.
[chorus]
Hamwendi mbinguni?
Hamwendi mbinguni?
Semeni hamwendi
Kule juu mbinguni
Support Mysongbooks
Support us by joining the Buy Me A Coffee community and making a small donation, you can help us expand our library and ensure that music lovers everywhere can enjoy their favorite songs to the fullest. We're passionate about music, and we know you are too, so let's work together to keep the music alive.
Thank you for being a part of our community and supporting our mission to provide the best lyrics library on the internet.