Furaha Kwa Ulimwengu
[1]
Furaha kwa ulimwengu! Bwana amekuja.
Nyote Mkaribisheni, moyo yenu na mpeni.
Wote wamshangilie, Wote wamshangilie,
na wote, na wote wamshangilie.
[2]
Furaha kwake dunia! Mwokozi ni Mfalme.
Bonde na mlima na mwamba, maji mtoni na shamba
Rudisheni sauti, Rudisheni sauti
Rudisheni, na rudisheni sauti.
[3]
Dhambi zisiongezeke, wala wahalifu;
Yuaja kutubariki, Atuletea ushindi,
Kuharibu dhambi, Kuharibu dhambi
Na kuharibu, na kuharibu dhambi
[4]
Atawala na neema, Kwao mataifa;
Utukufu na waone, Haki yake itendeke;
Kwa upendo wake, Kwa upendo wake
Kwa upendo, na kwa upendo wake
Support Mysongbooks
Support us by joining the Buy Me A Coffee community and making a small donation, you can help us expand our library and ensure that music lovers everywhere can enjoy their favorite songs to the fullest. We're passionate about music, and we know you are too, so let's work together to keep the music alive.
Thank you for being a part of our community and supporting our mission to provide the best lyrics library on the internet.