Chombo Chako
[1]
Ninakushukuru Bwana
Kwani uliniokoa
Vile ulinisafisha
Niwechombo chako safi
[chorus]
Chombo chako Bwana Yesu
Niko mikononi mwako
Uyalishe utumie
Kila siku kila saa
[2]
Chombo tupu unilishe
Na baraka zako kubwa
Mito ya maji ya uzima
Itatoka ndani yangu
[chorus]
Chombo chako Bwana Yesu
Niko mikononi mwako
Uyalishe utumie
Kila siku kila saa
[3]
Sina nguvu ila yako
Ndiye Roho Yako Mungu
Uyalishe na uwezo
Niwe mshuhuda wako
[chorus]
Chombo chako Bwana Yesu
Niko mikononi mwako
Uyalishe utumie
Kila siku kila saa
[4]
Mimi chombo cha udongo
Utukuzwe ndani yangu
Ulininunua Bwana
Niikale mali yako
[chorus]
Chombo chako Bwana Yesu
Niko mikononi mwako
Uyalishe utumie
Kila siku kila saa
Support Mysongbooks
Support us by joining the Buy Me A Coffee community and making a small donation, you can help us expand our library and ensure that music lovers everywhere can enjoy their favorite songs to the fullest. We're passionate about music, and we know you are too, so let's work together to keep the music alive.
Thank you for being a part of our community and supporting our mission to provide the best lyrics library on the internet.