Bwana Yesu Anaita
[1]
Bwana Yesu anaita
Furaha za dunia acha
Maisha haya yapita
Usingizi amka
[Chorus]
Anakuita, uje leo Usichelewe,
Leo uje kwa Yesu
[2]
Bwana Yesu anaita Tendo lake usidharau
Kwani kungojea tena Akuita uje leo
[Chorus]
Anakuita, uje leo Usichelewe,
Leo uje kwa Yesu
[3]
Bwana Yesu anaita Kwani kuishi kifungoni
Usiteseke dhambini Uhuru kwake utapata
[Chorus]
Anakuita, uje leo Usichelewe,
Leo uje kwa Yesu
[4]
Bwana Yesu anaita Rohoni yangu namtolea
Sasa dunia kwa heri Kwa kuwa Yesu ametosha
[Chorus]
Anakuita, uje leo Usichelewe,
Leo uje kwa Yesu
Support Mysongbooks
Support us by joining the Buy Me A Coffee community and making a small donation, you can help us expand our library and ensure that music lovers everywhere can enjoy their favorite songs to the fullest. We're passionate about music, and we know you are too, so let's work together to keep the music alive.
Thank you for being a part of our community and supporting our mission to provide the best lyrics library on the internet.