Bwana Mungu Mtakatifu
[1]
Ewe Bwana Mungu Mtakatifu
Uwezo wako umezidi vyote X2
[Chorus]
Ni ya ajabu Baba Mtakatifu
Kwa mapenzi yako ewe Bwana x2
Bwana uniandike name
Katika kitabu chako mbinguni x2
[2]
Utukufu wako ewe Bwana
Umezidi vyote ulimwenguni x2
[Chorus]
Ni ya ajabu Baba Mtakatifu
Kwa mapenzi yako ewe Bwana x2
Bwana uniandike name
Katika kitabu chako mbinguni x2
[3]
Ufalme wako ewe Bwana
Umezidi vyote ulimwenguni x2
[Chorus]
Ni ya ajabu Baba Mtakatifu
Kwa mapenzi yako ewe Bwana x2
Bwana uniandike name
Katika kitabu chako mbinguni x2
[4]
Damu yako msalabani
Mwokozi wetu amezidi vyote x2
[Chorus]
Ni ya ajabu Baba Mtakatifu
Kwa mapenzi yako ewe Bwana x2
Bwana uniandike name
Katika kitabu chako mbinguni x2
[5]
Uzima wako ewe Bwana
Umezidi vyote ulimwenguni X2
[Chorus]
Ni ya ajabu Baba Mtakatifu
Kwa mapenzi yako ewe Bwana x2
Bwana uniandike name
Katika kitabu chako mbinguni x2
Support Mysongbooks
Support us by joining the Buy Me A Coffee community and making a small donation, you can help us expand our library and ensure that music lovers everywhere can enjoy their favorite songs to the fullest. We're passionate about music, and we know you are too, so let's work together to keep the music alive.
Thank you for being a part of our community and supporting our mission to provide the best lyrics library on the internet.