Awaye Yote
[1]
Awaye yote, kama anataka
Kufuatana nami,
Ajikane mwenyewe X2
[chorus]
Yesu anasema, na tukajitwike
Msalaba wetu ndipo tukamfuate X2
(Kwa kuwa mtu atakaye)
Kuokoa nafsi (yake)
Ataipoteza (bali)
Kwa ajili ya Yesu ataiokoa
[2]
Ni faida gani mtu kupata
Ulimwengu wote na mwisho apotee X2
[chorus]
Yesu anasema, na tukajitwike
Msalaba wetu ndipo tukamfuate X2
(Kwa kuwa mtu atakaye)
Kuokoa nafsi (yake)
Ataipoteza (bali)
Kwa ajili ya Yesu ataiokoa
[3]
Tutatoa nini kwa mwokozi Yesu,
Kama kazi zote kwa nafsi zetu X2
[chorus]
Yesu anasema, na tukajitwike
Msalaba wetu ndipo tukamfuate X2
(Kwa kuwa mtu atakaye)
Kuokoa nafsi (yake)
Ataipoteza (bali)
Kwa ajili ya Yesu ataiokoa
Support Mysongbooks
Support us by joining the Buy Me A Coffee community and making a small donation, you can help us expand our library and ensure that music lovers everywhere can enjoy their favorite songs to the fullest. We're passionate about music, and we know you are too, so let's work together to keep the music alive.
Thank you for being a part of our community and supporting our mission to provide the best lyrics library on the internet.