Angalia Bwana Yesu
[1]
Ninaleta neno jema la uzima
Maneno yenye kuokoa
Kwamba Yesu alifia wenye dhambi
Angalia Bwana Yesu Kristo
[Chorus]
Angalia Bwana anatuokoa zote
Nao wanaomwamini wanapona
Angalia Bwana Yesu Kristo
[2]
Ninaleta neno jema la uzima.
Maneno yenye kuokoa Kwamba
Yesu alifia wenye dhambi
Angalia Bwana Yesu Kristo
[Chorus]
Angalia Bwana anatuokoa zote
Nao wanaomwamini wanapona
Angalia Bwana Yesu Kristo
[3]
Unawezaje kuishi siku hiyo.
Watu watakapohukumiwa.
Usimkatae Mwokozi Yesu Kristo
Anakupenda sana
[Chorus]
Angalia Bwana anatuokoa zote
Nao wanaomwamini wanapona
Angalia Bwana Yesu Kristo
Support Mysongbooks
Support us by joining the Buy Me A Coffee community and making a small donation, you can help us expand our library and ensure that music lovers everywhere can enjoy their favorite songs to the fullest. We're passionate about music, and we know you are too, so let's work together to keep the music alive.
Thank you for being a part of our community and supporting our mission to provide the best lyrics library on the internet.