Ameniita Mwokozi
[1]
Ameniita mwokozi wa upendo
Ameniita nikamtumikie
Kwa furaha nitamtumikia
Siku moja atanipumzisha
[chorus]
Nifuraha kwa Bwana wangu
Atanipumzisha
Baada ya kazi duniani
Atanipumzisha
Nitapata uzima wa milele
Bwana Yesu atanipumzisha
[2]
Kazi yake mwokozi wa upendo
Nitafanya mpaka siku ya mwisho
Watu wote wapate kuokoka
Watapata uzima wa milele
[chorus]
Nifuraha kwa Bwana wangu
Atanipumzisha
Baada ya kazi duniani
Atanipumzisha
Nitapata uzima wa milele
Bwana Yesu atanipumzisha
[3]
Bwana wangu nitamtumikia
Kila siku nitamtumikia
Mpaka watu wapate kuishika
Nitafanya juhudi waishike
[chorus]
Nifuraha kwa Bwana wangu
Atanipumzisha
Baada ya kazi duniani
Atanipumzisha
Nitapata uzima wa milele
Bwana Yesu atanipumzisha
Support Mysongbooks
Support us by joining the Buy Me A Coffee community and making a small donation, you can help us expand our library and ensure that music lovers everywhere can enjoy their favorite songs to the fullest. We're passionate about music, and we know you are too, so let's work together to keep the music alive.
Thank you for being a part of our community and supporting our mission to provide the best lyrics library on the internet.