Aliguza Upindo Wa Nguo
[1]
Aliguza upindo wa nguo
Mara akaona amepona
Hivi sasa ni saa yakujua
Neno lake imara.
[chorus]
Bwana Yesu akuita njoo njoo
Bwana Yesu akwambia rudi rudi
Mtazame Bwana Yesu juu juu
Dhambi zitasafishwa
Yiyi yiyi yiiii
Haha haha haaaa
Mtazame Bwana Yesu juu juu
Dhambi zitasafishwa.
[2]
Akaenda akitetemeka
Akasikia uwezo wake
Akasema Yesu Bwana wangu
Mungu na asifiwe.
[chorus]
Bwana Yesu akuita njoo njoo
Bwana Yesu akwambia rudi rudi
Mtazame Bwana Yesu juu juu
Dhambi zitasafishwa
Yiyi yiyi yiiii
Haha haha haaaa
Mtazame Bwana Yesu juu juu
Dhambi zitasafishwa.
[3]
Njoo tumfukuze shetani
Bwana Yesu ndiye kiongozi
Vita vikali tuvishinde
Bwana na asifiwe.
[chorus]
Bwana Yesu akuita njoo njoo
Bwana Yesu akwambia rudi rudi
Mtazame Bwana Yesu juu juu
Dhambi zitasafishwa
Yiyi yiyi yiiii
Haha haha haaaa
Mtazame Bwana Yesu juu juu
Dhambi zitasafishwa.
[4]
Njoo sasa tusiwe na hofu
Bwana Yesu ndiye kiongozi
Vita havitakushinda wewe
Mungu na asifiwe.
[chorus]
Bwana Yesu akuita njoo njoo
Bwana Yesu akwambia rudi rudi
Mtazame Bwana Yesu juu juu
Dhambi zitasafishwa
Yiyi yiyi yiiii
Haha haha haaaa
Mtazame Bwana Yesu juu juu
Dhambi zitasafishwa.
Support Mysongbooks
Support us by joining the Buy Me A Coffee community and making a small donation, you can help us expand our library and ensure that music lovers everywhere can enjoy their favorite songs to the fullest. We're passionate about music, and we know you are too, so let's work together to keep the music alive.
Thank you for being a part of our community and supporting our mission to provide the best lyrics library on the internet.