Loading Songs...

Utakaponituma

[1]
Pengine siyo milimani Utakaponiita;
Pengine siyo baharini Wala palipo vita;
Lakini unaponiita, Na njia siijui.
Bwana, nitajibu, ni tayari Kwenda uniagizapo.

Ukiwa pamoja nami, Bwana, Mlimani, baharini,
Niende utakapioniita; Nafuata uendako.

[2]
Pengine leo kuna neno, Neno tamu la pendo,
Ambalo Yesu anataka Ninene Kwa upole;
Ukiwa pamoja nami, Bwana, Nitamtafuta leo
Yule aliyepotea mbali: Nitasema upendavyo.

[3]
Pahali pako bila shaka Pa kuvuna shambani,
Kazi niwezayo kufanya Kwa Yesu Mkombozi;
Hivi nikikutegemea, Kwa kuwa wanipenda,
Mapenzi yako nitafanya, Na niwe upendavyo.


Support Mysongbooks

Support us by joining the Buy Me A Coffee community and making a small donation, you can help us expand our library and ensure that music lovers everywhere can enjoy their favorite songs to the fullest. We're passionate about music, and we know you are too, so let's work together to keep the music alive.

Thank you for being a part of our community and supporting our mission to provide the best lyrics library on the internet.

Buy me a coffeeBuy us a coffee

Like this song

2 Likes

Share this song

Facebook WhatsApp Twitter Telegram LinkedIn Email

Lyrics Videos on Youtube

DOES JESUS CARE? DOES JESUS CARE?
Hymns Of Comfort
Ancient Words Ancient Words
Golden Bells
Amazing Grace Amazing Grace
Spiritual Songs
I'LL FLY AWAY I'LL FLY AWAY
Songs Of Prayer And Praise
A wonderful Saviour A wonderful Saviour
Spiritual Songs
Holy, Holy, Holy Holy, Holy, Holy
Christ In Song Hymnal