Loading Songs...

ROHO MTAKATIFU

[1]
Roho Mtakatifu, Kiongozi amini;
Utushike mkono Tulio wasafiri;
Utupe kusikia Sauti ya upole;
‘Msafiri, fuata, Naongoza nyumbani.‘

[2]
Wewe ndiwe rafiki, Msaada karibu;
Tusiache shakani; Tukiwa gizani
Utupe kusikia Sauti ya upole;
‘Msafiri, fuata, Naongoza nyumbani.‘

[3]
Siku zetu za kazi, Zikiwa zimekwisha,
Wala hatuna tama Ila mbingu na sala:
Utupe kusikia Sauti ya upole;
‘Msafiri, fuata, Naongoza nyumbani.‘

04[1]


Support Mysongbooks

Support us by joining the Buy Me A Coffee community and making a small donation, you can help us expand our library and ensure that music lovers everywhere can enjoy their favorite songs to the fullest. We're passionate about music, and we know you are too, so let's work together to keep the music alive.

Thank you for being a part of our community and supporting our mission to provide the best lyrics library on the internet.

Buy me a coffeeBuy us a coffee

Like this song

39 Likes

Share this song

Facebook WhatsApp Twitter Telegram LinkedIn Email

Lyrics Videos on Youtube

Wade In The Water Wade In The Water
Songs On Request
Jesus My Savior Jesus My Savior
Songs On Request
Victory In Jesus Victory In Jesus
Golden Bells
Kutembea Nawe Kutembea Nawe
Kiswahili Praise And Worship