Nyimbo Za Kikristo

No description added.

Swahili 221 Songs

MISHALE YA NURU

[1]
Unakaribia wakati wa Kuja kwa Yesu.
Atawachukua watu wake Nyumbani juu.

Chorus
Tunaiona mishale ya nuru Inayopenya giza;
Tunaiona mishale ya nuru Ya ufunuo.

[2]
Injili inatangazwa pote kwa mataifa;
Bwana wa Arusi atakuja Na tarumbeta.

[3]
Pamoja na malaika zake Bwana arudi,
Awapeleke waaminifu Wasife tena.

[4]
Wapenzi waliotengwa kale Watakutana;
Machozi yao wenye huzuni Yatafutika.

16[4]


Support Mysongbooks

Support us by joining the Buy Me A Coffee community and making a small donation, you can help us expand our library and ensure that music lovers everywhere can enjoy their favorite songs to the fullest. We're passionate about music, and we know you are too, so let's work together to keep the music alive.

Thank you for being a part of our community and supporting our mission to provide the best lyrics library on the internet.

Buy me a coffee Buy us a coffee

Like this song


Share this song

Lyrics Videos on Youtube

Amazing Grace Amazing Grace Spiritual Songs
What A Friend We Have In Jesus What A Friend We Have In Jesus Christ In Song Hymnal
Kaa Nami Kaa Nami Kiswahili Praise And Worship