Upendo Wa Yesu
Eh tunamsifu Mungu
Anatulinda
Kila siku
Upendo wake umetuzunguka siku zote
Halleluyah
Huku na huku eeh kama mawimbi,
upendo wa Yesu wanizunguka
Kila ninapoimba kama mawimbi,
upendo wa Yesu wanizunguka
Niwapo nimelala kama mawimbi,
upendo wa Yesu wanizunguka
Na ninapo tembea tembea kama mawimbi,
upendo wa Yesu wanizunguka
Hata nikiwa nakula kama mawimbi,
upendo wa Yesu wanizunguka
Eh niwapo safarini kama mawimbi,
upendo wa Yesu wanizunguka
Nikiwa masomoni kama mawimbi,
upendo wa Yesu wanizunguka
Kila tunapokwenda tumezungukwa na nguvu za Mungu
Na kila tunalolifanya ambalo ni kwa ajili ya utukufu wa jina lake
tumezungukwa na upendo wake halleluyah
Huku na huku na kule na hapo kama mawimbi,
upendo wa Yesu wanizunguka
Anitegulia mitego ya muovu kama mawimbi,
upendo wa Yesu wanizunguka
Mi nalindwa kuliko wakuu wa dunia kama mawimbi,
upendo wa Yesu wanizunguka
Hata nikiwa pekee yangu kama mawimbi,
upendo wa Yesu wanizunguka
Na nikiwa nyumbani kwangu kama mawimbi,
upendo wa Yesu wanizunguka
Na nikiwa kazini kama mawimbi,
upendo wa Yesu wanizunguka
Huku na huku na huku kama mawimbi,
upendo wa Yesu wanizunguka
Nikiwa hospitalini kama mawimbi,
upendo wa Yesu wanizunguka
Nimezungukwa na nguvu za Mungu kama mawimbi,
upendo wa Yesu wanizunguka
Huku na huku he kama mawimbi,
upendo wa Yesu wanizunguka
Mawimbi mawimbi
Kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
Support Mysongbooks
Support us by joining the Buy Me A Coffee community and making a small donation, you can help us expand our library and ensure that music lovers everywhere can enjoy their favorite songs to the fullest. We're passionate about music, and we know you are too, so let's work together to keep the music alive.
Thank you for being a part of our community and supporting our mission to provide the best lyrics library on the internet.
Buy us a coffee