Ananijali
Nimeomba,
Tena sio mara moja, kwa roho na kwa kweli
Bali sijapata, majibu yangu kuyaona
Adui shetani muongo
Asema yakwamba mwenyezi Mungu, yeye hanijali bali
Siwezi, sitomkubali
Ninayo hakikisho, ya kweli mimi ninajua
Ananijali (x2)
Sitokubali kuzama kwenye maji
Ananipenda yeye ni mwema
Ni za dunia
Zangu hizi shida, hazitanizuia, kukutumikia
Nitafuata mimi hiyo njia, ya kweli na uzima
Kwani ulisema yote yamekwisha
Sitababaishwa, ninajua yatapita
Kwani, baada ya usiku giza
Ninayo hakikisho, asibuhi itafika, kwani
Ananijali (x2)
Sitokubali kuzama kwenye maji
Ananipenda yeye ni mwema
Support Mysongbooks
Support us by joining the Buy Me A Coffee community and making a small donation, you can help us expand our library and ensure that music lovers everywhere can enjoy their favorite songs to the fullest. We're passionate about music, and we know you are too, so let's work together to keep the music alive.
Thank you for being a part of our community and supporting our mission to provide the best lyrics library on the internet.