Aliyeniokoa
Aliyeniokoa, aliyeniokoa
Aliyeniokoa, ni Bwana Yesu (x2)
[Refrain]
Ninamjua, aliye mwamba
Aliyeniokoa, ni Bwana Yesu (x2)
Amenikomboa, ameniweka huru
Aliyeniokoa, ni Bwana Yesu
Ameniponya, ameniweka huru
Aliyeniokoa, ni Bwana Yesu
Nina furaha, nina amani
Aliyeniokoa, ni Bwana Yesu
Nina furaha, nina amani
Aliyeniokoa, ni Bwana Yesu
[Refrain]
Aliyeniokoa, aliyeniokoa
Aliyeniokoa, ni Bwana Yesu (x2)
Aliyenikomboa, aliyenikomboa
Aliyenikomboa, ni Bwana Yesu (x2)
Aliyeniokoa, aliyeniokoa
Aliyeniokoa, ni Bwana Yesu (x2)
[Bridge]
Nimewekwa huru, Nimewekwa huru
Nimewekwa huru, na Yesu! (x2)
Nimekombolewa, nimekombolewa
Nimekombolewa, na Yesu! (x2)
Support Mysongbooks
Support us by joining the Buy Me A Coffee community and making a small donation, you can help us expand our library and ensure that music lovers everywhere can enjoy their favorite songs to the fullest. We're passionate about music, and we know you are too, so let's work together to keep the music alive.
Thank you for being a part of our community and supporting our mission to provide the best lyrics library on the internet.
Buy us a coffee