Loading Songs...

Lako, Ee Mwikozi

[1]
Pendo lako, Ee Mwokozi, Hushinda pendo zote!
Kaa nasi, ndani yetu, furaha ya mbinguni.
Yesu, u rehema tupu. Safi na kusamehe,
Mfariji mwenye huzuni Ziondoe machozi.

[2]
Roho yako ya upendo Tuma kwa kundi lako;
Hebu tuirithi raha, iliyoahidiwa.
Uondoe moyo mbaya, U Mwanzo, tena Mwisho
Timiza imani yetu, Ili tuwekwe ‘huru.

[3]
Yesu, uje kwetu sasa, Tupokee huruma;
Rudi kwetu, tena kamwe Usituache pekee.
Tungekutukuza leo, Pamoja ma malaika,
Imba na kutoa sifa, Ingia kwa ibada.

[4]
Sasa, Bwana, kazi yako, Imalize moyoni;
Takasa hekalu lako, wokovu kamilisha!
Safisha viumbe vyako Katika wakati huu:
Tupumzike ‘toka dhambi, Tuingie mbinguni.


Support Mysongbooks

Support us by joining the Buy Me A Coffee community and making a small donation, you can help us expand our library and ensure that music lovers everywhere can enjoy their favorite songs to the fullest. We're passionate about music, and we know you are too, so let's work together to keep the music alive.

Thank you for being a part of our community and supporting our mission to provide the best lyrics library on the internet.

Buy me a coffeeBuy us a coffee

Like this song

0 Likes

Share this song

Facebook WhatsApp Twitter Telegram LinkedIn Email

Lyrics Videos on Youtube

AMAZING GRACE AMAZING GRACE
Songs Of Prayer And Praise
GIVE THANKS GIVE THANKS
Songs Of Prayer And Praise
Come We That Love The Lord Come We That Love The Lord
Christ In Song Hymnal
Blessed Assurance Blessed Assurance
Golden Bells
HOLY HOLY HOLY HOLY HOLY HOLY
Songs Of Prayer And Praise