Kuu
[1]
Ni siku kuu siku ile ya kumkiri Mwokozi!
Moyo umejaa tele, Kunyamaza hauwezi.
Siku kuu! Siku kuu! Ya kwoshwa dhambi zangu kuu!
Hukesha na kuomba tu, ananiongoza miguu.
Siku kuu! Siku kuu! Ya kwoshwa dhambi zangu kuu.
[2]
Tumekwisha kupatana, mimi wake yeye wangu,
Na sasa nitamwandama, nikiri neno la Mungu.
[3]
Moyo tulia kwa Bwana, kiini cha raha yako:
Huna njia mbili tena: uwe naye, yote ndako.
Support Mysongbooks
Support us by joining the Buy Me A Coffee community and making a small donation, you can help us expand our library and ensure that music lovers everywhere can enjoy their favorite songs to the fullest. We're passionate about music, and we know you are too, so let's work together to keep the music alive.
Thank you for being a part of our community and supporting our mission to provide the best lyrics library on the internet.